Mshambuliaji wa klabu ya Genk na Nahodha wa Taifa Stars ,Mbwana Ally Samatta ameanza kuwaniwa na klabu mbili zinazoshiriki ligi kuu ya Uingereza (EPL) Brighton na Norwich City kwa kutangaza kiwango cha fedha Euro Million 10 za KiTanzania
No comments:
Post a Comment