Ads Here

Thursday, 2 January 2020

Mahakama Yamgomea Kabendera kwenda kumzika Mama yake

MAHAKAMA YAMGOMEA KABENDERA: Hakimu Janeth Mtega amesema Mahakama ya Kisutu haina mamlaka ya kumruhusu Kabendera kuhudhuria mazishi ya Mama yake, hivyo atarudi Mahabusu hadi tarehe itakayopangwa na hakuna fursa ya kukata rufaa ktk maamuzi hayo,Kesi imeahirishwa hadi Jan 13, 2020.

No comments:

Post a Comment