Ads Here

Saturday, 28 December 2019

Mtoto wa miezi 6 afariki dunia baada ya kuguswa na bawa la kuku

Mtoto wa miezi sita amefariki nchini Kenya baada ya kushambuliwa na kuku "Nilikuwa nimempakata akataka kumkamata mmoja wa vifaranga, kuku huyo alimrukia Mtoto kwa hasira na kumgonga usoni na bawa, Mtoto alishtuka akaanza kulia kwa muda mrefu kisha akapoteza fahamu na kufariki"

No comments:

Post a Comment