Daktari aliyekuwa anashikiliwa kwa kosa la kutoa mimba za wanawake zaidi ya 20 ahukumiwa kwa kosa la uhujumu uchumi. Daktari huyo kutoka Dental Clinic iliyopo sinza mwenye umri wa miaka 40 Awadhi Juma na muuguzi mmoja wamefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kosa la ubadhilifu wa fedha za akina mama 260000
Chanzo : Mwanachi Publisherz
No comments:
Post a Comment